Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa
ufunguzi wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa
cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo
wa zoezi la hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini
Dodoma Oktoba 30, 2019.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.