Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki wa semina ya Viongozi wa Dola katika Usimamizi na Udhibiti wa
Rasilimali Madini baada ya kuifunga semina hiyo kwenye ukumbi wa St.
Gaspar jijini Dodoma, Januari 26, 2020. Waliokaa kutoka kushoto ni
Katibu Mkuu, Wizara ya Madini, Profesa. Simon Msanjila, Waziri wa
Madini, Doto Biteko, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus
Kilangi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kulia ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Madini, Stanslaus Nyongo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.