Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa bunge Job Ndugai (aliyekaa wa
pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Maspika na Mawaziri Wakuu
wastaafu katika hafla ya kukabidhi majoho kwa Maspika wastaafu
iliyofanyika Bungeni jijini Dodoma, Januari 18, 2019. Waliokaa kutoka
kushoto ni Mbunge wa Urambo, Magaret Sitta ambaye pia ni Mke wa Spika
Mstaafu, Marehemu Samuel Sitta, Spika wa Bunge Mstaafu, Pius Msekwa na
kulia ni Spika wa Bunge Mstaafu, Anne Makinda. Waliosimama ni Maziri
Wakuu Wataafu, kutoka kushoto ni Frederick Sumaye, Edward Lowassa na
John Malecela. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.