Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Januari 16, 2020 amerejea nchini kutoka Msumbiji, ambako alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, ambaye pia alikuwepo katika msafara huo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.