Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye
Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akipokea hundi ya Sh.
50,000,000/= kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha nguzo ya Qwihaya
General Enterpises Co. Limited, Leonard Mahenda, ikiwa ni mchango kwa
ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa
kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ofisi ya
Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mai 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.