NAIBU WAZIRI NDERIANANGA KATIKA KIKAO CHA BUNGE CHA 27
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na Naibu Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja Wakati wa Bunge la 12 Mkutano 11 wa
Bunge la Bajeti linaloendelea Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.