WAZIRI MHAGAMA KATIKA KIKAO CHA BUNGE CHA 27
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri
Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Dkt
Selemani Jafo wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti
linaloendelea Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.