Mtaalam wa madini akiweka sampuli ya mchanga katika mfuko kutoka katika baadhi ya makontena na kumkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa nakuondoka nao kwa ajili ya kuupeleka katika maabara ya serikali inayoshughulika na upimaji wa madini. Waziri Mkuu alifanya ziara katika mgodi wa Buzwagi 27 March, 2017 kwa lengo ya kujionea aina ya mchanga unaosafirishwa nje ya nchi na baadhi ya Migodi inayochimba Dhahabu hapa Nchini. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara katika Mgodi wa Buzwagi 27 March 2017 kwa ajili ya kuangalia Mchanga uliowekwa katika Makontena kwa ajili yakusafirishwa nje ya nchi katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainabu Telaki, na kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Stewart Hamilton Picha na PMO. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.