Mkurugenzi wa Idara ya
Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Packshard Mkongwa akipokea zawadi
kutoka kwa Bi. Dorothy Mwaluko,Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Wakati wa
sherehe fupi ya kuagwa rasmi na Uongozi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu, Bwana Mkongwa amestaafu rasmi Utumishi wa umma kuanzia tarehe
30.09.2020.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.