Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipunga baada ya kukata utepe wakati alipofungua Maonyesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam , Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Julai 3, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mhandisi Stella Manyanya, Waziri wa Biashara na Viwanda, Innocent Bashungwa,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro na kulia ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.