Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, kabla ya kuanza kikao cha Bunge mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu swali la papo kwa papo, leo bungeni mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe, wakati akiuliza swali la papo kwa papo, bungeni mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.