Wananchi wapokea kwa
muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa Maporomoko ya mawe na matope
kutoka Mlima Hanang kwa kushrikiana na serikali. Uratibu wa zoezi hilo unaenda
sanjari na ugawaji wa vifaa vya msaada wa kibinadamu kwa waathirika wa maafa hayo.
Hatua hiyo inaenda
sambamba na hali ya urejeshaji hali katika Mji wa Katesh, Halmashauri ya wilaya
ya Hanang Mkoani Manyara, huku shughuli ya uondoaji wa tope katika barabara na
mitaa ya Mji wa katesh ikiendelea.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.