Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha hati mezani, Bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.