Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro baada ya kufungua Kituo cha Polisi cha Mbweni Wilayani Kawe, Mei 24, 2018. |
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Siro akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Ktuo cha Polisi cha Mbweni ,jijini Dar es salaam, Mei 24, 2018. |
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamd Masauni akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua Kituo cha Polisi cha Mbweni , jijini Dar es salaam, Mei 24, 2018. |
Baadhi ya mwananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Mbweni , jijini Dar es salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kituo hicho, Mei 24, 2018. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.