|
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuadhimishi siku ya Wanawake Duniani
ambayo kimkoa yamefanyika katika Viwanja vya Mashujaa Dodoma. |
|
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuadhimishi siku ya Wanawake Duniani
ambayo kimkoa yamefanyika katika Viwanja vya Mashujaa Dodoma. |
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akihutubia wanawake
walioshiriki wakati wa Maadhimishi ya Siku ya Wanawake Duniani Mchi 8, 2019 katia
Viwanja vya Mashujaa Dodoma yenye Kauli mbiu isemayo “Badili Fikra Kufikia Usawa wa
Kijinsia kwa Maendeleo Endelevu”
|
|
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde (hayupo pichani)
wakati wa maadhimisho hayo.
|
|
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho hayo.
|
|
Kikundi cha bendi ya JUKIMSI
wakionesha umahiri wao wa kuimba wakiwa katika gari maarufu kwa jina la “kijiko”
wakati wa maadhimisho hayo.
|
Mmoja wa wanawake mahiri
katika fani ya udereva wa magari makubwa (kijiko) Bi.Easther akionesha umahiri
wake wa kuendesha gari hilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyoadhimishwa kimkoa Viwanja vya Mashujaa Dodoma.
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akiangalia moja
ya mfuko ulioshoinwa kwa kitengo na kikundi cha Angel kutoka Dodoma wakati wa
maadhimisho hayo.
|
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akiangalia
akiangalia moja ya bidhaa ya mafuta inayotengenezwa na kikundi cha Farijika
wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani.
|
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.