Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii maarufu wa mjini Dodoma Mwinamila baada ya onyesho la ngoma la kikunid cha msanii huyo kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto kwake), eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.