Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kutoka kwenye Banda la Fursa sawa kwa Wote (EOTF) kwenye Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 4, 2018. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha pambo lenye rangi za bendera ya taifa lililobuniwa na kutengenezwa nchini Kenya wakati alipotembelea banda la Kenya katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 4, 2018. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.