Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi cha DON BOSCO
wanaonufaika na mpango wa Serikali kuwaongezea ujuzi vijana kupitia programu
maalum inayotekelezwa kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu.
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira
Mhe. Antony Mavunde akiteta jambo na Mkurugenzi wa Ajira kutoka Ofisi hiyo Bw. Ally
Msaki.
|
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.