Mwezeshaji kutoka Ofisi ya
Waziri Mkuu Bw. Julius Tweneshe akielezea mada kuhusu taratibu za kufungua
kampuni wakati wa mafunzo hayo.
|
Sehemu ya wajasirimali
kutoka Mkoa wa Geita wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa wakati wa
mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi ya
Mkuu wa Mkoa wa Geita.
|
Baadhi ya Wajasiriamali walioshiriki
kwenye mafunzo hayo wakijadiliana kazi kwenye vikundi.
|
Sehemu ya Sekretarieti
wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa mafunzo
hayo yaliyofanyika Mkoani Geita Agosti 22, 2019.
|
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.