Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa, akimjulia hali Mzazi, Zena Issa, wakati altpotembelea Wodi ya Wazazi, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe Mary, wakimsalimia Mzazi, Zulfa Juma, wakati wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe Mary, wakimsalimia Mzazi, Zulfa Juma, wakati wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.