Meneja
wa Programu elimu ya majanga kutoka UNISDR Bi.Katarina Mouakkid akieleza jambo wakati wa kufunga warsha ya kupunguza
madhara ya maafa nchini iliyofanyika Jijini Dodoma Februari 1,2019.
|
Mkurugenzi wa
Idara ya Uratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kanali Jimmy Matamwe
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya viongozi kutoka Mashirika ya Kimataifa ikiwemo, UNISDR, CIMA na
mwakilishi kutoka VU.NL na kulia kwake
ni Bw.Charles Msangi mratibu wa maafa wa ofisi hiyo.
|
Mratibu wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. John Kiriwai akiwasilisha mada wakati wa warsha ya kupunguza madhara ya maafa nchini iliyofanyika Jijini Dodoma. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.