Tuesday, September 10, 2019

OFISI YA WAZIRI MKUU YAMUAGA KATIBU MKUU MSTAAFU MAIMUNA TARISHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimpongeza Katibu Mkuu Msataafu wa ofisi yake Bi.Maimuna Tarishi wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Bunge na Siasa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Raymond Kaseko akiungumza jambo wakati wa hafla hiyo
Mhasibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Anthony Chayeka akichangia jambo wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Mstaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) hiyo Bi. Maimuna akizungumza na timu ya Menejimenti ya ofisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kumuaga kwa kustaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria za utumishi.
Sehemu ya wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bi. Maimuna Tarishi (Mstaafu) wakati hafla hiyo.
Katibu Mkuu Msaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi akieleza historia yake katika utumishi wa umma (Miaka 34) kwa timu ya menejimenti ya ofisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kumuaga iliyoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi zawadi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi wakati wahafla fupi  ya kumuaga iliyoandaliwa na ofisi yake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Timu ya Menejimenti ya Ofisi yake wakati wa hafla fupi ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi yake (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi Septemba, 2019 Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza wakati wa halfa hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Paul Sangawe akieleza jambo wakati wa hafla hiyo.







EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.