Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na mtaalam wa maabara, Bahati Ipunda, wakati akikagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua kituo cha afya cha Ndago, kilichopo katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Oktoba 6.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua chumba cha kufanyia upasuaji, katika kituo cha afya cha Ndago, kilichopo katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Oktoba 6.2019. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na mtaalam wa maabara, Bahati Ipunda, wakati akikagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.