Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. Wa tatu kushoto ni Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea na wa nne kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameubeba Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika katika uwanja wa Shule ya Misngi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa na kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge, Mzee Ali Mkongea. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru wakati mwenge huo ulipopokelea wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.