Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wadau wa Lishe kabla ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Baadhi ya wakurugenzi wa Wizara wakifuatilia Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Baadhi ya maafisa wa
serikali na maafisa Lishe wakifuatilia Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Baadhi ya Makatibu wakuu wakifuatilia Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza
wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini
Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Mwakilishi wa FAO nchini,
Fred Kafeero akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Baadhi ya maofisa wa Idara na Taasisi za serikali wakifuatilia Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu), Dorothy Mwaluko, akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa
Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Baadhi ya wakurugenzi wa
Idara na Taasisi za serikali wakifuatilia Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Lishe na Chakula Tanzania, Dkt. Germana Leyna akizungumza
wakati wa Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini
Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
Baadhi ya wakurugenzi wa Wizara wakifuatilia Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa
Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.
|
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.