Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Spika wa Buge, Job Ndugai baada ya kukabidhiwa na Spika Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. |
Spika wa Buge Job Ndugai akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Maalum iliyoundwa na Spika ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite baada ya Spika kupokea Tarifa hiyo na kumkabidhi Waziri Mkuu kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. Aliyekaa kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na aliyeka kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Job Ndugai. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.