Kaimu Balozi wa Marekani Nchini, Bi. Inmi Patterson akizungumza katika Uzinduzi wa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
|
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozindua mfumo huo kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza katika Uzinduzi wa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma nchini. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushotoni ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.