Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya
UKIMWI Mhe. Elibariki Emmmanuel Kingu ameipongeza Serikali na wadau wa maendeleo wanaoshirikiana na
Serikali katika kutoa afua mbalimbali kukabiliana na ugonjwa wa Virusi vya
UKIMWI.
Ameeleza umuhimu wa Semina hiyo katika
kutambua wadau wanaoshirikiana na Serikali kwa karibu na kuishauri serikali
katika kuongeza muitikio wa kisiasa wa kuendelea kushawishi wadau hao kuwa na
mkakati stahimilivu katika kusaidia afua za UKIMWI.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.