Monday, November 21, 2016

NAIBU WAZIRI POSSI AZINDUA TAMASHA LA TANO LA WATU WENYE ULEMAVU JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza wakati akizindua Tamasha la tano la watu wenye ulemavu nchini, lililoanza leo Novemba 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limeandaliwa kwa udhamini wa Shirika lisilo la kiserikali la The Foundation of Civil Society..

Baadhi ya washiriki wa Tamasha hilo wakimsikiliza mgeni rasmi Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi wakati akisoma hotuba ya ufunguzi wa Tamasha hilo katika Hoteli ya Blue Pearl Jijini Dar es Salaam..EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.