Sunday, January 1, 2017

WAKAZI WA MJI WA LINDI WAFANYA USAFI KUITIKIA WITO WA RAIS

Wakazi wa mji wa Lindi wakifanya usafi wa mazingira katika mitaa na barabara  zinazozunguka hospitali ya mkoa huo Desemba 31, 2016. Walifanya hivyo kuitikia agizo la  Rais John Pombe Mgufuli la kuwataka watanzania kutumia muda wa asubuhi kila Jumamosi kufanya usafi wa mazingira.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.