Wednesday, July 8, 2020

MAJALIWA ATEMBELEA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO NALIENDELE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea  Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi  ya Utafiti wa Kilimo Naliendele, Dr. Fortunus Kapinga (kushoto) kuhusu utafiti wa mbegu bora za mhogo unaofanyika katika Taasisi hiyo, Julai 7, 2020. Wa pili kushoto ni Mtafiti Mkuu katikaTaasisi hiyo, Bernadetha Kimata. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Berbadetha Kimata ambaye ni  Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele ya Mtwara  kuhusu utafiti wa mbegu za mhogo wakati alipoitembelea, Julai 7, 2020. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais  Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.