Tuesday, June 20, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO, KWA DINI ZOTE TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri , Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,Bungeni Mjini Dodoma Juni 19,2017.
 Baadhi ya Wabunge wakibadilishina mawazo  wakati wa  futari iliyo andaliwa na Spika wa Bunge la Tanzania Job  Ndugai , kutoka  kulia,  Mbunge wa Ilala  Idd Zungu.  katikati  Mbunge wa  Bariadi Magharibi  Andrew Chenge .na kushoto ni Mbunge  wa Mbarali  Haroon Mulla  .Futari hiyo ilifuturiwa katika viwanja vya  Bunge  June 20, 2017 Mjini Dodoma.
 Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa . akitoa salamu za Shukurani  kwaniaba ya WaBunge na wafanyakazi wa Bunge , kwa  Spika wa Bunge  Job  Ndugai , Kwakuwafuturisha  , June. 20 .2017 katika Viwanja vya  Bunge Mjini  DodomaEmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.