Baadhi ya vijana wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipowatembelea vijana hao kukagua maendeleo ya mafunzo waliyopatiwa kupitia kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na viongozi wa mkoa wa Manyara alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya mafunzo ya kilimo cha kisasa wanayopatiwa vijana kupitia teknolojia ya kitalu nyumba “Greenhouse”, Mkoani Manyara. |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kushoto) akiangalia bustani iliyotengenezwa na vijana alipokuwa akikagua mafunzo ya kilimo cha kisasa wanayopatiwa vijana hao. Kushoto ni Mbunge Mstaafu wa Babati Vijijini Mhe. Virajilal Jituson.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akitoa maelekezo kwa viongozi wa Mkoa wa Manyara alipokuwa akikagua maendeleo ya mafunzo ya kilimo cha kisasa kupitia teknolojia ya kitalu nyumba, Mkoani Manyara.
|
Muonekano wa Kitalu Nyumba “Greenhouse” iliyopo Matufa katika Kata ya Magugu.
|
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.