Tuesday, June 23, 2020

ZIARA YA MAJALIWA WILAYANI RUANGWA JUNI 23

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa kwa nyimbo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Nanjaru akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa, Juni 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Nanjaru,  Bakari Chuwa (kulia) wakati alipotembelea ghala la chama hicho akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa Juni 23, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama magunia ya ufuta wakati alipotembelea ghala la  Chama cha Ushirika cha msingi cha Nanjaru wilayani Ruangwa, Juni 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi, Juni 23, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.