Monday, August 6, 2018

WAZIRI MKUU AFUNGUA MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mashindano ya mpira wa miguu kati ya timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania na Uganda,kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wananchi, katika ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es bAgosti 6, 2018.
 Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Tanzania,  wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi  ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.
Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Rwanda  wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.

Kikundi cha Ngoma cha Maringo kikitoa burudani, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipuliza firimbi kuashiria ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018Wachezaji wa timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania na Uganda, wakicheza mpira mara baada ya ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.

Wachezaji wa timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania na Uganda, wakicheza mpira mara baada ya ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.

 Wachezaji wa timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania na Uganda, wakicheza mpira mara baada ya ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki  katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.