Tuesday, April 14, 2020

BUNGENI 14.04.2020

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu  Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele, Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.
Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara, akichangia mada, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.
Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara, akichangia mada, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akizungumza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. 
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akizungumza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.