Sunday, September 17, 2017

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA ZAO LA KOROSHO JIJINI TANGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa mkoa wa Tanga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga ambako alifungua Mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort September 17, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye ukumbi wa hoteli ya Tanga Beach Reasort jijini Tanga Septemba 17, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika  picha ya pamoja na Mawaziri , Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Bodi ya Korosho Tanzania  baada ya kufungua mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort jijini Tanga September 17, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka baada ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort jijini TangaSeptemba 17, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, wapili kulia ni Waziri wa Kilimo , Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles  Tizeba na watatu kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania , Anna Abdallah.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.