Friday, October 15, 2021

Rais Samia Ahutubia Taifa kilele cha Mbio za Mwenge Chato

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021 zilizofanyika leo Oktoba 14,2021 katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.