Thursday, May 14, 2020

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Yapi Markezi, Ardem Arioglu, akiwa ndani ya treni inayotumia umeme, wakati alipokagua mradi wa reli ya kisasa ya SGR, May 14, 2020.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosandani ya treni inayotumia umeme, wakati alipokagua mradi  wa reli ya kisasa ya SGR, May 14, 2020. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL)ndani ya treni inayotumia umeme, wakati alipokagua mradi  wa reli ya kisasa ya SGR, May 14, 2020.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mandhari ya nje, wakati akiwa ndani ya treni inayotumia umeme, alipokagua mradi  wa reli ya kisasa ya SGR, May 14, 2020.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mandhari ya nje, wakati akiwa ndani ya treni inayotumia umeme, alipokagua mradi  wa reli ya kisasa ya SGR, May 14, 2020.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akishukandani ya treni inayotumia umeme, wakati alipokagua mradi  wa reli ya kisasa ya SGR, May 14, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.