Wednesday, May 13, 2020

SERIKALI YAUNGWA MKONO MAPAMBANO JANGA LA CORONA NA KAMPUNI YA EVERWELL CABLE AND ENGINEERING CO. LTD


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye  Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akipokea hundi ya Sh. 100,000,000/= kutoka kwa kampuni ya Everwell Cable and Engineering Co. Ltd, ikiwa ni mchango kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 13, 2020. 

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, akizungumza kwenye makabidhiano ya hundi ya Sh. 100,000,000/= , ikiwa ni mchango kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwawa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 13, 2020. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akizungumza baada ya kupokea hundi ya Sh. 100,000,000/=, ikiwa ni mchango kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 13, 2020. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (Kushoto)  pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge),  Tixon Nzunda  (Kulia), wakati wa  kupokea hundi ya Sh. 100,000,000/=, ikiwa ni mchango kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 13, 2020.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.