Wednesday, March 8, 2017

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE

Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu,Vijana na Watu Wenye Ulemavu) wakiwa katika Maandamano,wakisherehekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yenye ujumbe usemao “Tanzania ya Viwanda: Wanawake ni Msingi wa mabadiliko ya Uchumi”. Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga Jijini Dar es Salaam Tarehe 8 Machi, 2017.
Katika picha ya pamoja Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Vijana na Watu Wenye Ulemavu) baada ya kushiriki maandamano katika Viwanja vya Mwembe Yanga wakati wakisherehekea Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam Tarehe 8 Machi, 2017.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.