Thursday, March 9, 2017

WAZIRI MKUU AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA YAKE MDOGO KIKWETE

Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa wakati  alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017.
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017. Kulia ni Rais Mstaamu Dk. Kikwete.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.