Wednesday, March 8, 2017

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WILAYANI KONGWA DODOMA.

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhimishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika Wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma Machi 8, 2017.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kusherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kusherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kuisherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.