Wednesday, May 10, 2017

BUNGENI LEO 10 MAY,2017

Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi, Hamad Masauni, bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge  akwasilisha Makadiro ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2017/18, bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2017. 
 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi, Hamad Masauni  na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Upendo Pendeza kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.