| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo Kutoka kwa, Afisa Utawala wa TPC aliyeshika kofia Bwana Jafari Ally kuhusiana na Shughuli zinazo endelea katika kiwanda cha Kutengeneza Sukari cha TPC , Kushoto kwa Waziri Mkuu aliye vaa shasti jeupe ni Meneja wa kiwanda Bwana Pascal Petiot, , Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni. | 
| 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akipata maelezo  kutoka kwa 
Meneja wa Kiwanda cha Sukari (TPC) Bwana 
Pascal Petiot  kuhusiana na Mitambo
Mipya ya Kompyuta ambazo zimefungwa  ili
kuongeza Ufanisi Katika Kiwanda  cha TPC
Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda  hicho hivi karibuni. | 
| 
Waziri Mkuu 
Kassim Majaliwa,  akiangalia
Mitambo  mipya   inayo
fungwa  katika Kiwanda cha   kutengeneza 
Sukari  cha  TPC, Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri
Mkuu alitembelea Kiwanda  hicho hivi
karibuni. | 
| Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa Chama cha Wafanyakzi wa kiwanda cha Sukari TPC (TASIWU) Bwana Bilali Omari ,waliopo katikati aliyeva Tisheti ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Bwana Robert Baissac na Meneja wa Kiwanda hicho Bwana Pascal Petiot, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni | 
 
 
 
 
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.