Monday, May 1, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI MKOANI KILIMANJARO KITAIFA

Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na  Makamu  wa Raisi Mama Samia  Suluhu walipokuwa  katika  Sherehe za  Mei  Mosi  zilizo fanyika  Kitaifa Mkoani  Kilimanjaro  01/5/2017 Katika viwanja  vya  Chuo  cha Ushirika  Mkoani  Kilimanjaro.
Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na Mwenyekiti  Mtendaji  wa  IPP Dr  Reginali Mengi   walipokuwa katika  Sherehe za  Mei  Mosi  zilizo fanyika  Kitaifa Mkoani  Kilimanjaro 01/5/2017 Katika viwanja  vya  Chuo  cha Ushirika  Mkoani  Kilimanjaro.
Wafanya Kazi wa Kiwanda Chakutengenza  Sukari  (TPC)  Wakipita Kwa maandamo mbele ya mgeni Rasimi Rais Dr John Magufuli  5/5/2017 ikiwa ni ishara ya  kusheherekea  Maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi  Duniani  ambapo Tanzania Kitaifa  yamefanyika  Mkoani  Kilimanjaro   Katika Viwanja  vya Chuo  cha Ushirika  Mkoani  Kilimanjaro

Baadhi ya  Wabunge wakiwa  pamoja na Watumishi  wa Serekali  katika  Sherehe za  Mei  Mosi  zilizo fanyika  Kitaifa Mkoani  Kilimanjaro 01/5/2017 Katika viwanja  vya  Chuo  cha Ushirika  Mkoani  Kilimanjaro.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.