Tuesday, May 9, 2017

MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika  ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa  Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa baada ya kufungua mafunzo hayo katika  ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya  Rais, Selemani Jafo na kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja. Aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mndeme.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na  Mkuu wa Wilaya  ya  Dodoma Mjini, Christina Mndeme baada ya kufungua Mafunzo ya  Wakuu wa Wilaya  na Wakurugenzi wa Halmashauri za Seriklali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Selemani Jafo na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja baada ya kufungua Mafunzo kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa  katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.