Thursday, December 5, 2019

WAZIRI LUKUVI AWAPA KIBARUA WAKUU WA MIKOA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akijibu hoja kuhusu masuala ya ardhi wakati wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Kibaha Mkoani Pwani Desemba 5, 2019.Lengo la mkutano huo ni kusikiliza na kutatua changamato wanazokabiliana nazo.
Mawazi na Manaibu Mawaziri wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Wafanyabiashara na Wawekezaji uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wakunga na Wauguzi Kibaha Mkoani Pwani Desemba 5, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Wafanyabiashara na Wawekezaji huo wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa Mkutano huo.
Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa wizara mbalimbali wakiwasili katika ukimbi wa mikutano wa Baraza la Wakunga na Wauguzi uliopo Kibaha mkoani Pwani kwa lengo la kusikiliza changamoto za wawekezaji wa mkoa huo.
Baadhiri ya wajumbe walioshiriki Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Wafanyabiashara na Wawekezaji uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wakunga na Wauguzi Kibaha Mkoani Pwani.
Baadhi ya wajumbe walioshiriki Mkutano huo wakifuatilia hoja.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji wa Mkoa wa Pwani, Olnjure Marigwa akichangia hoja wakati wa mkuatano huo.
Mfanyabiasha wa Hoteli ya Green Park Village ya Bagamoyo, Bw. Slim Slim akieleza kero yake kwa mawaziri na manaibu mawaziri (hawapo pichani) wakati wa mkutano huo.
Mfanyabiashara wa kampuni ya BM Motors – Pwani Bi. Salma Zonga akichangia hoja wakati wa mkutano huo.
Mfanyabiashara wa Mkoa wa Pwani Bw. Uyeka Rumbyambya akieleza changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wakati wa mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiwasilisha changamoto za wafanyabiashara na wawekezaji zinazowakumba katika mkoa wake.
Mawaziri na Manaibu mawaziri wakifuatilia hoja wakati wa mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji waliohudhuria mkutano huo (hawapo pichani)
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akijibu hoja kuhusu masuala ya ardhi wakati wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Kibaha Mkoani Pwani Desemba 5, 2019.Lengo la mkutano huo ni kusikiliza na kutatua changamato wanazokabiliana nazo.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.