Wednesday, December 11, 2019

SERIKALI KUANDAA MPANGO WA UTOAJI HUDUMA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (kushoto) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Ushauri kwa Watu Wenye Ulemavu, Dkt. Lucas Kija (mwenye tai) baada ya Mkutano masuala ya Utoaji wa Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu uliofanyika. Wa kwanza Kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Taifa (SHIVYAWATA) Bw. Jonas Lubago, Bi. Josephine Liyengi. Wa pili kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu Bw. Philbert Kawemama.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Wadua walioshiriki katika Mkutano kuhusu masuala ya Utoaji wa Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, Jijini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau walioshiriki Mkutano kuhusu masuala ya Utoaji wa Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, Jijini Dodoma.
Mwakilishi kutoka Chama cha Wasioona Bi. Nuru Awadhi akichangia mada wakati wa mkutano huo.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu Bw. Philbert Kawemama (kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo. Wa pili kutoka kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Ushauri kwa Watu Wenye Ulemavu, Dkt. Lucas Kija na Afisa Programu kutoka Shirika la Foundation for Civil Society, Bi. Eveline Mchau.
Baadhi ya wadau wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa kwenye Mkutano huo.
Mtaalamu Mwelekezi kutoka Chuo Cha Mzumbe Dkt. Henry Mollel (aliyesimama) kiwasilisha mada kuhusu rasimu ya mpango huo wakati wa mkutano huo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Wadua walioshiriki katika Mkutano kuhusu masuala ya Utoaji wa Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Taifa (SHIVYAWATA) Bw. Jonas Lubago akielezea jambo wakati wa Mkutao huo uliowakutanisha wadau kujadili kuhusu umarishwaji wa masuala ya Utoaji wa Huduma kwa Watu Wenye Ulemavu. Wa tatu kutoka kulia Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa.
Sehemu ya Wadau walioshiriki Mkutano huo wakisikiliza hotuba ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (hayupo pichani).


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.