Sunday, December 8, 2019

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa ramani ya jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, kabla ya kuweka jiwe la msingi, Desemba 8, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi wa jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, Desemba 8, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, Desemba 8, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.